Sokosupa
Dar es Salaam, Ilala,
tokea siku 2
Fduce Sl40 Podcast Microphone
TZS 150,000
Unatafuta mic ambayo unaweza kuichomeka kwenye simu yako ya iPhone, Android (Type-C), au PC na kuanza ku-record sauti safi? Nauza Fduce SL40 Microphone ikiwa katika hali nzuri kabisa (Used). Huna haja ya kununua soundcard kubwa, hii inajitegemea yenyewe, na kama una mixer pia ina support XLR. 💵 Price: TSh 150,000 📞 Piga/WhatsApp: 0624586067
Zungumza na muuzaji
Nasser Altaie
Angalia matangazo zaidi
Hakikisha unapokea bidhaa yako kwanza
fanya biashara sehemu ya wazi
kagua kwanza ndio ulipie baada ya kuridhika
sokosupa hatuhusiki na biashara yoyote zaidi ya kuwakutanisha muuzaji na mnunuzi tu
fanya biashara sehemu ya wazi
kagua kwanza ndio ulipie baada ya kuridhika
sokosupa hatuhusiki na biashara yoyote zaidi ya kuwakutanisha muuzaji na mnunuzi tu