Sokosupa Logo
Sokosupa
Dodoma, Area d, tokea siku 1

Nyumba Ya Kupangisha Area D

TZS 300,000

Nyumba inapatikana Dodoma area d mtaa wa magufuli. Imezungukwa na nyumba za waheshimiwa na Ofisi za serikali. Iko ndani ya geti, Ina parking ya Magari mawili. Ina vyumba viwili kimoja master, ina kibaraza na choo cha wageni. Tarehe 30 mwezi wa 6 mpangaji anaondoka hivyo iko wazi kwa mteja anayetaka kuizuia mapema. Itawekwa tiles na kurekebishwa vitasa na rangi na kadhalika, kiufupi itang'arishwa . Kodi 300k miezi 6. Udalali kodi ya mwezi mmoja. Piga 0616262000

Zungumza na muuzaji

Abubakari Kidunda
Abubakari Kidunda
Angalia matangazo zaidi
Hakikisha unapokea bidhaa yako kwanza 
fanya biashara sehemu ya wazi
kagua kwanza ndio ulipie baada ya kuridhika
sokosupa hatuhusiki na biashara yoyote zaidi ya kuwakutanisha muuzaji na mnunuzi tu