Sokosupa Logo
Sokosupa
Dar es Salaam, Mikocheni, tokea sekunde 0

Mchele Wa Kahawia/Brown Rice

TZS 6,000

Mchele wa brown ni Mchele mzuri sana kwa afya una faida nyingi kama vile; • Nyuzinyuzi Nyingi: Inasaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu. • Kudhibiti Sukari: Haiyapandishi sukari ya damu haraka; ni nzuri kwa wenye kisukari. • Afya ya Moyo: Husaidia kupunguza shinikizo la damu na kolestrol. • Kupunguza Uzito: Husaidia kujihisi umeshiba kwa muda mrefu. • Virutubisho Zaidi: Ina kiasi kikubwa cha madini ya Magnesium, Manganese, na Vitamini B kuliko mchele mweupe. • Kinga ya Mwili: Ina vioksidishaji (antioxidants) vinavyolinda seli dhidi ya magonjwa.

Zungumza na muuzaji

Beatrice Simon
Beatrice Simon
Angalia matangazo zaidi
Hakikisha unapokea bidhaa yako kwanza 
fanya biashara sehemu ya wazi
kagua kwanza ndio ulipie baada ya kuridhika
sokosupa hatuhusiki na biashara yoyote zaidi ya kuwakutanisha muuzaji na mnunuzi tu